Story

Serikali, KOICA, UNOPS Washirikiana Kuboresha Elimu Ya Sekondari Zanzibar

22 May 2022
Caption: Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Huduma za Miradi (UNOPS) na Shirika la Ushirikiano wa Kitaifa la Korea (KOICA) wanashirikiana kuboresha ufundishaji na ujifunzaji wa masomo ya sayansi katika shule za Zanzibar kama sehemu ya mradi wa KOICA wa Kuimarisha Ubora wa Elimu ya Sekondari (EQSSE).
Photo: © UNOPS/Atsushi Shibuya

UN entities involved in this initiative

UNESCO
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa
UNOPS
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Huduma za Miradi

Other entities involved in this initiative

KOICA
Korea International Cooperation Agency

Goals we are supporting through this initiative