Ziara ya Timu ya Nchi ya Umoja wa Mataifa kwenye kambi za Wakimbizi
17 Novemba 2021
Timu ya Nchi ya Umoja wa Mataifa ilikuwa na ziara katika Mkoa wa Kigoma ambapo walitembelea jamii ya karibu na kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu na kambini.
We are upgrading this website platform to make it clearer,
faster and more accessible.
Can you take a two-minute survey to share your feedback and help shape this upgrade?