Tuchukue Hatua kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevu

Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) ni mwongozo wa kufikia mustakabali bora na endelevu kwa wote. Ni wito kwa ulimwengu kuchukua hatua kukomesha umaskini, kulinda sayari na kuhakikisha kwamba watu wote wanafurahia amani na ustawi. Jifunze zaidi na uchukue hatua.

Shiriki Leo

Fahamu njia zaidi za kuweza kushiriki na kueneza ujumbe huu.

Gundua namna unavyoweza kushiriki