Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
18 Juni 2022
Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alipofanya mahojiano na Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa katika kuadhimisha siku ya Kiswahili Dunia ifikapo Tarehe 7/Julai/ kila mwaka.