Maadhimisho ya Miaka 75 ya walinzi wa Amani Duniani.
28 Juni 2023
Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Tanzania Bw.Hussein Kilo Mdoe, alipofanya Mahojiano na Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa hivi karibuni katika kuadhimisha Maadhimisho ya Miaka 75 ya Walinda Amani Duniani. Video na Laurean Kiiza/UNIC.