Siku ya Afrika :Onyesha Fahari yako Changamoto za Umoja wa Mataifa
Tunasherehekea Afrika, watu wake na urithi wao. UN inawaalika wafuasi wetu wa mitandao ya kijamii, kuonyesha fahari yao tarehe 25-26 Mei. Kampeni inatoa wito kwa watumiaji waonyeshe fahari yao kupitia selfie na/au picha yoyote inayowakilisha mapenzi bora, urithi au uhusiano bora na Afrika na waalike