Simulizi
Serikali, KOICA, UNOPS Washirikiana Kuboresha Elimu Ya Sekondari Zanzibar
22 Mei 2022

Maelezo mafupi: Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Huduma za Miradi (UNOPS) na Shirika la Ushirikiano wa Kitaifa la Korea (KOICA) wanashirikiana kuboresha ufundishaji na ujifunzaji wa masomo ya sayansi katika shule za Zanzibar kama sehemu ya mradi wa KOICA wa Kuimarisha Ubora wa Elimu ya Sekondari (EQSSE).
© UNOPS/Atsushi Shibuya Chanzo cha Picha
Mashirika ya UN yanayojihusisha katika Huu Mpango kazi
UNESCO
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa
UNOPS
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Huduma za Miradi
Baadhi ya mashirika yaliyojihusisha na mpango huu
KOICA
Korea International Cooperation Agency