Lengo la Maendeleo Endelevu
8

Kazi zenye Staha na ukuzaji Uchumi

Kukuza ukuaji wa uchumi endelevu, shirikishi na upatikanaji wa ajira zenye tija na staha kwa wote

Washirika

FAO
Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa
IFAD
Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada ya Kiufundi na Maendeleo ya Kilimo
ILO
Shirika la Kazi la Umoja wa Mataifa
IOM
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na masuala ya Uhamiaji
ITC
Kituo cha Biashara cha Kimataifa
UNCDF
Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo na Mitaji
UNCTAD
Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Biashara na Maendeleo
UNDP
Shirika la UN la Mipango ya Maendeleo
UNESCO
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa
UNHCR
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa
UNIDO
Shirika la Maendeleo ya Viwanda la Umoja wa Mataifa

Maeneo ya Mipango yetu Mahususi Yanayohusiana na Lengo hili la Maendeleo Endelevu

Kazi yetu juu ya Decent Work and Economic Growth inahusishwa na haya Malengo ya Maendeleo Endelevu