Lengo la Maendeleo Endelevu
17

Ushirikiano katika Kufanikisha Malengo

Kuimarisha mbinu za utekelezaji na kuhuisha ushirikiano wa kimataifa kwa maendeleo endelevu

Washirika

FAO
Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa
IOM
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na masuala ya Uhamiaji
ITC
Kituo cha Biashara cha Kimataifa
UNCDF
Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo na Mitaji
UNDP
Shirika la UN la Mipango ya Maendeleo
UNFPA
Shirika la Idadi ya Watu la Umoja wa Mataifa
UNIC
Kituo Cha Habari cha Umoja wa Mataifa
UNICEF
Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa
UNODC
Shirika la Umoja wa Mataifa la kupambana na Matumizi ya Dawa za kulevya na Biashara Haramu ya Binadamu
WFP
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani

Maeneo ya Mipango yetu Mahususi Yanayohusiana na Lengo hili la Maendeleo Endelevu

Kazi yetu juu ya Partnerships for the Goals inahusishwa na haya Malengo ya Maendeleo Endelevu