Lengo la Maendeleo Endelevu
11

Miji na Jamii Endelevu

Kuwepo kwa miji na makazi jumuishi, salama, stahimilivu na uendelevu

Washirika

FAO
Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa
ITC
Kituo cha Biashara cha Kimataifa
UNCDF
Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo na Mitaji
UNESCO
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa
UNHCR
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa
UNIC
Kituo Cha Habari cha Umoja wa Mataifa
UNICEF
Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa
UNODC
Shirika la Umoja wa Mataifa la kupambana na Matumizi ya Dawa za kulevya na Biashara Haramu ya Binadamu
WHO
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani

Maeneo ya Mipango yetu Mahususi Yanayohusiana na Lengo hili la Maendeleo Endelevu

Kazi yetu juu ya Sustainable Cities and Communities inahusishwa na haya Malengo ya Maendeleo Endelevu