Chapisho
Ripoti ya Matokeo ya Mwaka 2021-2022
27 Machi 2023
Mfumo wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania unajumuisha mashirika 23 ya Umoja wa Mataifa, ambayo yanafanya kazi kwa karibu na serikali na wadau wengine kusaidia kufikiwa kwa vipaumbele vya maendeleo ya Taifa na Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs). Umoja wa Mataifa hutumia faida yake linganishi kukuza uwiano wa sera, kuimarisha ushirikiano, kukuza kujifunza katika maendeleo na kuwezesha utoaji wa huduma bora kwa maskini zaidi na walio hatarini zaidi.
Imechapishwa na
FAO
IFAD
ILO
IOM
ITC
RCO
UN DESA
UN Women
UN-HABITAT
UNAIDS
UNCDF
UNCTAD
UNDP
UNDSS
UNEP
UNESCO
UNFPA
UNHCR
UNICEF
UNIDO
IRMCT
UNODC
UNOPS
UNV
WFP
WHO